futokb/java/res/values-sw/strings-letter-descriptions.xml

208 lines
30 KiB
XML
Raw Normal View History

<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?>
<!--
/*
**
** Copyright 2014, The Android Open Source Project
**
** Licensed under the Apache License, Version 2.0 (the "License");
** you may not use this file except in compliance with the License.
** You may obtain a copy of the License at
**
** http://www.apache.org/licenses/LICENSE-2.0
**
** Unless required by applicable law or agreed to in writing, software
** distributed under the License is distributed on an "AS IS" BASIS,
** WITHOUT WARRANTIES OR CONDITIONS OF ANY KIND, either express or implied.
** See the License for the specific language governing permissions and
** limitations under the License.
*/
-->
<!--
These accented letters (spoken_accented_letter_*) are unsupported by TTS.
These symbols (spoken_symbol_*) are also unsupported by TTS.
TODO: Remove these string resources when TTS/TalkBack support these letters.
-->
<resources xmlns:xliff="urn:oasis:names:tc:xliff:document:1.2">
<string name="spoken_accented_letter_00AA" msgid="1429204792762885085">"Alama ya herufi \"a\" inayowekwa sehemu ya juu ya nambari kama ishara ya nambari zinazowakilisha nafasi au mtiririko"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00B5" msgid="7868294865559331588">"Ishara ndogo"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00BA" msgid="6130566166610759347">"Alama ya herufi \"o\" inayowekwa sehemu ya juu ya nambari kama ishara ya nambari zinazowakilisha nafasi au mtiririko"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00DF" msgid="7710831757384261616">"S inayotamkwa kwa sauti ya shada, yaani SS"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00E0" msgid="8359362590979941845">"A, inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00E1" msgid="2671495856337880810">"A, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00E2" msgid="4087084704351663503">"A, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00E3" msgid="7975329965802415596">"A, ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo wenye kiwimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00E4" msgid="208598292868336905">"A, yenye nukta mbili juu ikiwa ni msisitizo wa kuitamka kama ilivyo bila kuiunganisha kama silabi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00E5" msgid="4228925932500129556">"A, inayotamkwa kwa kuumba mdomo kama o"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00E6" msgid="7323940543942149954">"A, E, zinazotamkwa kama neno moja"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00E7" msgid="4049466573783395785">"C, sedila"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00E8" msgid="6177875281261539527">"E, inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00E9" msgid="2175044698947400318">"E, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00EA" msgid="2086137690252658024">"E, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00EB" msgid="6302438512201996209">"E, yenye nukta mbili juu ikiwa ni msisitizo wa kuitamka kama ilivyo bila kuiunganisha kama silabi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00EC" msgid="5062003793705929129">"I, inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00ED" msgid="6694774041240192339">"I, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00EE" msgid="5136204093260797544">"I, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00EF" msgid="8307231501441468703">"I, yenye nukta mbili juu ikiwa ni msisitizo wa kuitamka kama ilivyo bila kuiunganisha kama silabi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00F0" msgid="4239778544582693104">"Eth"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00F1" msgid="4987892928889057170">"N, ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00F2" msgid="5077323275299574759">"O, inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00F3" msgid="9079538247216003650">"O, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00F4" msgid="4895596839992601302">"O, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00F5" msgid="3532023196307928021">"O, ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00F6" msgid="7749387914189798954">"O, yenye nukta mbili juu ikiwa ni msisitizo wa kuitamka kama ilivyo bila kuiunganisha kama silabi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00F8" msgid="8281419747498267561">"O, iliyokatwa kwa kijistari kilicholala kuelekea upande wa kulia inayotamkwa kwa kuumba mdomo kama o na kumalizia kama e."</string>
<string name="spoken_accented_letter_00F9" msgid="1170214579674533510">"U, inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00FA" msgid="1876191144394927321">"U, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00FB" msgid="4924009576739820941">"U, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00FC" msgid="6495614390944597426">"U, yenye nukta mbili juu ikiwa ni msisitizo wa kuitamka kama ilivyo bila kuiunganisha kama silabi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00FD" msgid="3492105815141862669">"Y, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00FE" msgid="8691066174200751006">"Alama ya Kilatini inayofanana na p yenye kistari kilichopitiliza kwenda upande wa juu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_00FF" msgid="2687674423034966788">"Y, yenye nukta mbili juu ikiwa ni msisitizo wa kuitamka kama ilivyo bila kuiunganisha kama silabi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0101" msgid="1254633067802891111">"A, alama ya kijistari juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kuvuta"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0103" msgid="3688796653637498600">"A, alama ya kijistari cha kujikunja juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kukata"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0105" msgid="3134851467217320032">"A, alama ya koma iliyogeuzwa inayowekwa sehemu ya chini ya irabu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0107" msgid="5660625243852495210">"C, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0109" msgid="6274117230259531470">"C, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_010B" msgid="6063571229543007312">"C, alama ya kitone inayowekwa sehemu ya juu ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_010D" msgid="3450443416935694439">"C,inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kuanzia juu kisha kushuka na kupanda tena"</string>
<string name="spoken_accented_letter_010F" msgid="6745744655665327534">"D, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kuanzia juu kisha kushuka na kupanda tena"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0111" msgid="6503055322642812531">"D, iliyokatwa kwa kijistari kilicholala kuelekea upande wa kulia inayotamkwa kwa kuumba mdomo kama o na kumalizia kama e."</string>
<string name="spoken_accented_letter_0113" msgid="5612700209421224569">"E, alama ya kijistari juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kuvuta"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0115" msgid="2395715219714820980">"E, alama ya kijistari cha kujikunja juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kukata"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0117" msgid="4951272010293834033">"E, alama ya kitone inayowekwa sehemu ya juu ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0119" msgid="8712770118846720521">"E, alama ya koma iliyogeuzwa inayowekwa sehemu ya chini ya irabu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_011B" msgid="7899382512008649409">"E, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kuanzia juu kisha kushuka na kupanda tena"</string>
<string name="spoken_accented_letter_011D" msgid="341326313179445327">"G, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_011F" msgid="2447869333691111889">"G, alama ya kijistari cha kujikunja juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kukata"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0121" msgid="1238160107693159713">"G, alama ya kitone inayowekwa sehemu ya juu ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0123" msgid="6178849075218185914">"G, inayotamkwa kwa sauti nyororo"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0125" msgid="4692241198279662525">"H, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0127" msgid="4720255318728960504">"H, iliyokatwa kwa kijistari kilicholala kuelekea upande wa kulia inayotamkwa kwa kuumba mdomo kama o na kumalizia kama e"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0129" msgid="9157168186081954638">"I, ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_012B" msgid="375585010195736343">"I, alama ya kijistari juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kuvuta"</string>
<string name="spoken_accented_letter_012D" msgid="4106308258543638970">"I, yenye kijistari kilichojikunja kuelekea juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida ya kukatiza"</string>
<string name="spoken_accented_letter_012F" msgid="1452578280482403979">"I, alama ya koma iliyogeuzwa inayowekwa sehemu ya chini ya irabu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0131" msgid="5937673538326272342">"I isiyokuwa na kitone sehemu ya juu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0133" msgid="277563648654762150">"I, J, zinazotamkwa kama neno moja"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0135" msgid="2779870638617435461">"J, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0137" msgid="8455545193949287181">"K, inayotamkwa kwa sauti nyororo"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0138" msgid="9011034155609255386">"Alama inayofanana herufi \"k\" lakini inayotamkwa kama herufi \"g\" katika alfabeti ya Grinlandi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_013A" msgid="6362476433982975663">"L, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_013C" msgid="2681322379412226799">"L, inayotamkwa kwa sauti nyororo"</string>
<string name="spoken_accented_letter_013E" msgid="8461168633186195677">"L, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kuanzia juu kisha kushuka na kupanda tena"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0140" msgid="4080829239481462178">"L, yenye alama ya kitone sehemu ya kati kati"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0142" msgid="5847973091715644967">"L, iliyokatwa kwa kijistari kilicholala kuelekea upande wa kulia inayotamkwa kwa kuumba mdomo kama o na kumalizia kama e."</string>
<string name="spoken_accented_letter_0144" msgid="3651802585231558">"N, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0146" msgid="4199445347237532836">"N, inayotamkwa kwa sauti nyororo"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0148" msgid="58935040893678407">"N, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kuanzia juu kisha kushuka na kupanda tena"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0149" msgid="20055877995806511">"N, inayotanguliwa na alama ya koma katika kona ya juu kushoto"</string>
<string name="spoken_accented_letter_014B" msgid="9134611171368422907">"Alama ya herufi \"n\" ndogo katika alfabeti ya Kilatini"</string>
<string name="spoken_accented_letter_014D" msgid="965954484606707266">"O, alama ya kijistari juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kuvuta"</string>
<string name="spoken_accented_letter_014F" msgid="8110337151682568175">"O, alama ya kijistari cha kujikunja juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kukata"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0151" msgid="4985198246715436875">"O, inayotamkwa kwa sauti ya shada inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0153" msgid="5048546969963218488">"O, E, zinazotamkwa kama neno moja"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0155" msgid="5139403444775251743">"R, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0157" msgid="9060230171835456811">"R, inayotamkwa kwa sauti nyororo"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0159" msgid="3782854434017992897">"R, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kuanzia juu kisha kushuka na kupanda tena"</string>
<string name="spoken_accented_letter_015B" msgid="3085286648020508804">"S, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_015D" msgid="5074291323151484913">"S, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_015F" msgid="5193866302469375998">"S, inayotamkwa kwa sauti nyororo"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0161" msgid="8393253516113135791">"S, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kuanzia juu kisha kushuka na kupanda tena"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0163" msgid="3338244832255179350">"T, inayotamkwa kwa sauti nyororo"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0165" msgid="8987768863591268935">"T, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kuanzia juu kisha kushuka na kupanda tena"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0167" msgid="8920128556019924058">"T, iliyokatwa kwa kijistari kilicholala kuelekea upande wa kulia inayotamkwa kwa kuumba mdomo kama o na kumalizia kama e"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0169" msgid="4907691546517947733">"U, ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_016B" msgid="901672217821836813">"U, alama ya kijistari juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kuvuta"</string>
<string name="spoken_accented_letter_016D" msgid="1565897080674698164">"U, yenye kijistari kilichojikunja kuelekea juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida ya kukatiza"</string>
<string name="spoken_accented_letter_016F" msgid="3757096999173707468">"U, inayotamkwa kwa kuumba mdomo kama o"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0171" msgid="6714863197999325550">"U, inayotamkwa kwa sauti ya shada inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0173" msgid="7410814847627853645">"U, inayowekewa kijimkia kwa upande wa kulia chini ikisisitiza irabu kutamkwa kwa sauti ya kubanwa puani"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0175" msgid="339235903820054218">"W, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0177" msgid="2941315939930277636">"Y, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda"</string>
<string name="spoken_accented_letter_017A" msgid="4714572902688921072">"Z, inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_017C" msgid="2833396869222884032">"Z, alama ya kitone inayowekwa sehemu ya juu ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_017E" msgid="4554566832243631717">"Z, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kuanzia juu kisha kushuka na kupanda tena"</string>
<string name="spoken_accented_letter_017F" msgid="888899188556708687">"Herufi ya \"Z\" yenye alama ya \"v\" upande wa juu wa herufi inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kuanzia juu kisha kushuka na kupanda tena"</string>
<string name="spoken_accented_letter_01A1" msgid="2981828105139279447">"O, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_01B0" msgid="2629226342652632511">"U, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0219" msgid="8645226763076655106">"S, alama ya koma inayowekwa kwenye sehemu ya chini ya baadhi ya herufi katika alfabeti ya Kilatini"</string>
<string name="spoken_accented_letter_021B" msgid="8866011193954339675">"T, alama ya koma inayowekwa kwenye sehemu ya chini ya baadhi ya herufi katika alfabeti ya Kilatini"</string>
<string name="spoken_accented_letter_0259" msgid="5905439489534279827">"Alama ya herufi \"e\" iliyogeuzwa inayotumiwa katika baadhi ya irabu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EA1" msgid="8505976060756867417">"A, alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EA3" msgid="2788352532160807472">"A, alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EA5" msgid="2292693679156098920">"A, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda pamoja na inayotamkwa kwa sauti ya juu inayopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EA7" msgid="8417536722845681229">"A, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kujipinda pamoja na inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EA9" msgid="2578279336601294022">"A, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EAB" msgid="7374135434062109962">"A, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EAD" msgid="1474480343541533775">"A, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EAF" msgid="2200325846558733243">"A, alama ya kijistari cha kujikunja juu ya irabu kuifanya itamkwe kwa sauti ya kawaida lakini ya kukatana kwa sauti iliyopazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EB1" msgid="9106179683756690965">"A, alama ya kijistari cha kujikunja juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kukata na inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EB3" msgid="4065739316471720816">"A, alama ya kijistari cha kujikunja juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kukata na alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EB5" msgid="1770105416022788250">"A, alama ya kijistari cha kujikunja juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kukata na ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EB7" msgid="8792260248587042181">"A, alama ya kijistari cha kujikunja juu ya irabu kuifanya ya kutamkwa kwa sauti ya kawaida lakini ya kukata na alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EB9" msgid="6106301654737736106">"E, alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EBB" msgid="2212685394846524242">"E, alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EBD" msgid="2807714536689435520">"E, ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EBF" msgid="8454808514594026786">"E, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na inayotamkwa kwa sauti ya kupazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EC1" msgid="5019511373362431084">"E, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EC3" msgid="5719085507413798816">"E, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EC5" msgid="3419169573905751004">"E, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EC7" msgid="1277744171696272674">"E, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EC9" msgid="6329641087936952362">"I, alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1ECB" msgid="3327046611713033242">"I, alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1ECD" msgid="5645946423555657021">"O, alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1ECF" msgid="6430101687743339581">"O, alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1ED1" msgid="3542223744518083869">"O, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na inayotamkwa kwa sauti ya kupazwa"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1ED3" msgid="5633582508617044483">"O, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1ED5" msgid="6489014380143700648">"O, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1ED7" msgid="376703009449231814">"O, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1ED9" msgid="6737319443248179778">"O, inayotamkwa kwa sauti yenye mwelekeo wa kwenda na kurudi au kujikunja na alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EDB" msgid="6819739418527680766">"O, inayotofautisha matamshi kwa sauti ya kupaza"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EDD" msgid="8441862499254128566">"O, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu na inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EDF" msgid="6740676097223638958">"O, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu na alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EE1" msgid="1645775585720722502">"O, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu na ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EE3" msgid="7867735542899859419">"O, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu na alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EE5" msgid="9180116754354569560">"U, alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EE7" msgid="2767129138874029066">"U, alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EE9" msgid="4579407710103850368">"U, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu na inayotamkwa kwa sauti ya juu kali"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EEB" msgid="9092276653886577084">"U, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu na inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EED" msgid="1967931200947380386">"U, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu na alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EEF" msgid="8446824374207720775">"U, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu na ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo yenye wimbi"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EF1" msgid="6698470815077489739">"U, alama ya koma inayowekwa kwenye kona ya juu kulia ya herufi \"o\" na \"u\" katika alfabeti ya Kivietnamu na alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EF3" msgid="2443614715758900063">"Y, inayotamkwa kwa sauti ya chini nyembamba"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EF5" msgid="6415139004635224094">"Y, alama ya kitone inayowekwa sehemu ya chini ya herufi katika alfabeti za Kilatini na Kivietnamu"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EF7" msgid="8043497255841518190">"Y, alama inayofanana na alama ya kuuliza isiyokuwa na kitone chini inayowekwa juu ya irabu kwenye alfabeti ya Kivietnamu inayoifanya itamkwe kwa kupandisha na kushusha sauti"</string>
<string name="spoken_accented_letter_1EF9" msgid="1694289744737814265">"Y, ya kutamkwa kwa sauti ya mwendelezo wa kiwimbi"</string>
<string name="spoken_symbol_00A1" msgid="5790009556085890120">"Alama hisi iliyogeuzwa juu chini"</string>
<string name="spoken_symbol_00AB" msgid="5511510090088597396">"Alama ya kunukuu yenye pembe mbili zinazoelekea kushoto"</string>
<string name="spoken_symbol_00B7" msgid="2229465280092246747">"Kitone cha kati"</string>
<string name="spoken_symbol_00B9" msgid="569656106787361413">"Nambari moja iliyoandikwa kwa juu kidogo"</string>
<string name="spoken_symbol_00BB" msgid="1034542082006355758">"Alama ya kunukuu yenye pembe mbili zinazoelekeza kulia"</string>
<string name="spoken_symbol_00BF" msgid="2593494842934706144">"Kiulizi kilichogeuzwa juu chini"</string>
<string name="spoken_symbol_2018" msgid="3752105271943839375">"Alama moja ya kunukuu ya kushoto"</string>
<string name="spoken_symbol_2019" msgid="573485083281273993">"Alama moja ya kunukuu ya kulia"</string>
<string name="spoken_symbol_201A" msgid="5266122937974689382">"Alama moja ya koma inayowekwa sehemu ya chini ya baadhi ya herufi"</string>
<string name="spoken_symbol_201C" msgid="258649836949624565">"Alama mbili za kunukuu za kushoto"</string>
<string name="spoken_symbol_201D" msgid="2263084205088083519">"Alama mbili za kunukuu za kulia"</string>
<string name="spoken_symbol_2020" msgid="8808522468746727018">"Alama ya kurejea"</string>
<string name="spoken_symbol_2021" msgid="4826738438425587522">"Alama mbili za kurejea"</string>
<string name="spoken_symbol_2030" msgid="4220618342788098709">"Alama ya kuonyesha sehemu moja ya elfu"</string>
<string name="spoken_symbol_2032" msgid="5601856861977171913">"Alama inayofanana alama ya koma inayotumiwa kuonyesha aina tofauti za vipimo"</string>
<string name="spoken_symbol_2033" msgid="5929762716995207957">"Alama mbili zinazofanana alama za koma inayotumiwa kuonyesha aina tofauti za vipimo"</string>
<string name="spoken_symbol_2039" msgid="5066534608558700563">"Alama moja ya kunukuu yenye pembe inayoelekeza kushoto"</string>
<string name="spoken_symbol_203A" msgid="5227807616001958272">"Alama moja ya kunukuu yenye pembe inayoelekeza kulia"</string>
<string name="spoken_symbol_2074" msgid="2007314687882920646">"Nambari \"4\" inayotumika kama alama inayowekwa kona ya juu kulia ya baadhi ya herufi"</string>
<string name="spoken_symbol_207F" msgid="3090229039527496614">"Herufi ndogo ya \"n\" ya kilatini inayowekwa kona ya juu kulia ya baadhi ya herufi"</string>
<string name="spoken_symbol_20B1" msgid="1667597325548864311">"Alama ya Peso"</string>
<string name="spoken_symbol_2105" msgid="5668256285251569417">"Kupitia kwa"</string>
<string name="spoken_symbol_2192" msgid="5322328119737591799">"Kishale kinachoelekeza kulia"</string>
<string name="spoken_symbol_2193" msgid="9032686072837441720">"Kishale kinachoelekeza chini"</string>
<string name="spoken_symbol_2205" msgid="5968285323513580406">"Seti isiyokuwa na kitu chochote"</string>
<string name="spoken_symbol_2206" msgid="3376690118863943544">"Ongezeko"</string>
<string name="spoken_symbol_2264" msgid="8876219179743627125">"Ndogo kuliko au sawa na"</string>
<string name="spoken_symbol_2265" msgid="131323661511836175">"Kubwa kuliko au sawa na"</string>
<string name="spoken_symbol_2605" msgid="6865705201241850682">"Nyota Nyeusi"</string>
</resources>